Jinsi ya Kupata Simu Iliyopotea kwa Kupiga “Mluzi”

4 miezi iliyopita 290
ARTICLE AD BOX
Jinsi ya Kupata Simu Iliyopotea kwa Kupiga "Mluzi"Kwa kuanza ningependa uelewe kuwa njia hii ni kwa ajili ya mtu ambaye amepoteza simu kwenye mazingira ya nyumbani au mazingira ambayo anayafahamu. Kwa lugha nyingine njia hii itakusaidia kama umeweka simu yako mahali ambapo umesahau, kama unataka kujua jinsi ya kupata simu ambayo imepotea unaweza kusoma makala hii hapa kama unatumia simu ya Android, […]
Soma chapisho lote